NAFASI Za Kazi Chamwino District Council

NAFASI Za Kazi Chamwino District Council
NAFASI Za Kazi Chamwino District Council
Kufuatia idhini ya utekelezaji wa ajira mpya kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kwa kibali chenye Kumb. Na. Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe 29-04-2025, kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino anawatangazia Watanzania wote wenye sifa za kujaza nafasi za kazi tajwa hapo chini kujisajili na kutuma maombi yao kwa njia ya mfumo wa Ajira Portal.
Nafasi 14 Za Kazi zinazotangazwa na Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino ni kama zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
