NAFASI Za Kazi DART Tanzania

NAFASI Za Kazi DART Tanzania
NAFASI Za Kazi DART Tanzania
Wakala ya Mabasi yaendayo haraka (DART) ni taasisi ya serikali iliyoundwa kwa mujibu wa Tangazo la serikali No. 120 la tarehe 25 Mei 2007 chini ya sheria No. 30 ya Wakala za Serikali ya mwaka 1997 na marekebisho yake.
Jukumu kuu la DART ni kuanzisha na kuendesha mfumo wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka kwa Jiji la Dar es Salaam.
Wakala anatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali kama zilizoanishwa katika Tangazo hili.
Kuona Vigezo na Sifa Pamoja na jinsi ya Kutuma Maombi Bonyeza hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Kwa Wakala ya Mabasi yaendayo haraka (DART), Mofat Transport & Logistics.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
