NAFASI 53 Za Wakusanya Mapato Nyang’hwale District Council

Filed in Ajira by on 24.06.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI 53 Za Wakusanya Mapato Nyang'hwale District Council

NAFASI 53 Za Wakusanya Mapato Nyang’hwale District Council

NAFASI 53 Za Wakusanya Mapato Nyang’hwale District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale anawatangazia Wananchi wa Wilaya ya Nyang’hwale nafasi za kazi.

Hivyo, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

Wanaohitajika ni Wakusanya mapato nafasi (53) Katika Kata na Vijijini tajwa hapa chini.

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kukusanya mapato katika eneo utakalopangiwa na Mwajiri.
  • Kuhakikisha mapato yote ya Halmashauri yanakusanywa kwa kufuata taratibu.
  • Kupeleka Benki fedha yote inayokusanywa kwa wakati.

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe na umri wa kuanzia miaka 18.
  • Mwombaji awe anajua kutumia simu janja (Smart phone).
  • Awe na namba au Kitambulisho cha NIDA.
  • Awe na afya njema, mwaminifu, mwenye kujituma.
  • Awe ni muhitimu kidato cha nne.
  • Mwombaji awe ni Mtanzania asiyezidi umri wa miaka 45 na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale.
  • Mwombaji awe hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai, kufungwa jela au kupatikana na kosa lolote katika Utumishi wa Umma.
  • Mwombaji apitishe barua ya maombi kwa Mtendaji wa Kijiji husika
  • Mwombaji awe na wadhamini wawili ambao ni watumishi wa Serikali watakao mdhamini kwa barua.

Aidha maombi yote yawasilishwe kwa anuani ifuatayo
Mkurugenzi Mtendaji (W) S.L.P 352
NYANG’HWALE.

N.B Mkataba huu utakua wa miezi mitatu pia mwajiriwa anaweza kuhuisha.

Kwa mujibu wa mkataba wakusanyaji watalipwa 7% ya makusanyo katika mwezi.

Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 27/06/2025 saa 9:30 alasiri.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *