NAFASI Za Kazi Metro Plastic Industries Ltd

NAFASI Za Kazi Metro Plastic Industries Ltd
NAFASI Za Kazi Metro Plastic Industries Ltd
Metro Plastic Industries Ltd Inakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye uwezo, ujuzi na motisha ya hali ya juu kwa nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili la Ajira.
NAFASI: MAWAKALA WA MAUZO (SALES REPRESENTATIVES)
MAJUKUMU:
- Kuuza bidhaa za plastiki kwa wateja wapya na waliopo.
- Kutafuta na kupanua masoko.
- Kukusanya na kuripoti mrejesho kutoka kwa wateja.
- Kufanikisha na kuvuka malengo ya mauzo
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Elimu ya angalau kuanzia kidato cha nne (form IV).
- Uzoefu wa mauzo kwa angalau mwaka mmoja, ikiwa ni vyema zaidi katika vifaa vya ujenzi kama hardware, mabomba (plumbing), au sekta ya ujenzi kwa ujumla.
- Uwezo mzuri wa kuwasiliana (Kiswahili & Kiingereza).
- Uaminifu, bidii, na uwezo wa kufanya kazi bila uangalizi
METRO PLASTIC INDUSTRIES LTD INATOA
- Mazingira mazuri ya kazi.
- Mshahara wa kudumu pamoja na kamisheni (fixed + commission).
- Mafunzo na msaada kwa wale watakaofanikiwa kuajiriwa
Tuma Maombi Kwa:
Barua pepe: sales@metro-tz.com
Au fika: Plot 5 & 6, Mtaa wa Makamba, Gerezani, Dar es Salaam, Tanzania
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 30 Juni 2025.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

Am well expecting to get job