NAFASI Za Kazi Synergy Security Limited

Filed in Ajira by on 24.06.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Synergy Security Limited

NAFASI Za Kazi Synergy Security Limited

NAFASI Za Kazi Synergy Security Limited

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kampuni ya ulinzi ya SYNERGY SECURITY Ltd Inatangaza nafasi za kazi za ulinzi kwa vijana wa kike na wa kiume, kwa sehemu zifuatazo hapa chini.

  • Dodoma.
  • Dar es salaam.
  • Masasi.
  • Arusha Na
  • Zanzibar.

SIFA ZA MWOMBAJI:

  • Awe mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea.
  • Awe na elimu darasa la saba, kidato cha nne na kuendelea.
  • Awe na akili timamu na afya njema.
  • Awe hajawahi kushitakiwa kwa makosa yoyote ya jinai, na awe tayali.
  • Awe amepitia mafuzo ya Mgambo (militia) JKT au mafunzo yanayotambulika na serikali ya Tanzania.
  • Wenye udhoefu katika kada mbalimbali kama vile vitengo vya mbwa, cctv camera, watapewa kipaumbele.

Mwombaji atatakiwa kuambatanisha vitu vifuatavyo katika barua yake ya maombi;

  • Barua ya maombi ya kazi na picha mbili (2) za passport.
  • Barua ya utambulisho kutoka serikali za mtaaikiwa na piccha yake.
  • Nakala ya kitambulisho cha kupiga kura, kitambulisho cha taifa/ Mzanzibar mkazi/leseni ya udereva.
  • Awe na barua mbili za wadhamini waliohitishwa na serikali ya mtaa, na picha moja moja ya paspoti size kwa kila Mdhamini.

Mwisho wa Maombi ni tarehe 29 June Maombi yatumwe kwa;
Meneja mwajili
SYNERGY SECURITY Ltd,
P.O.BOX 452323
DAR ES SALAAM.
Au kwa email; synergy securitz@gmail.com

kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255753950002/0761314444.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *