MAGAZETI ya Leo Alhamisi 26 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 25.06.2025 0 Comments
Share This Post

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 26 June 2025

Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2024/2025.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Rais Samia ameandika kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kuwa: “Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ikiwa ni ubingwa wa nne mfululizo. Kwa zaidi ya miaka 85, upinzani wa Yanga na Simba umeendelea kuwa burudani kwa mamilioni ya mashabiki ndani na nje ya nchi. Endeleeni kutupa burudani.”

Yanga imetangaza ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuifunga Simba mabao 2-0.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Pacome Zouzoua (66’) na Clement Mzize (86’).

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *