MAGAZETI ya Leo Jumatano 25 June 2025
MAGAZETI ya Leo Jumatano 25 June 2025


Bajeti ya serikali kwa mwaka 2025/2026 ya Sh.trilioni 56.49 imepitishwa kwa kura za ndiyo 373 sawa na asilimia 98.7.
Akisoma matokeo ya upigaji kura ya bajeti bungeni leo, Spika wa Bunge, Dk.Tulia Ackson, amesema idadi ya kuwa wabunge ni 392 na nafasi wazi ni moja.
Amesema idadi ya wabunge walikuwepo bungeni leo ni 378 na wasiokuwepo ni 13 ambapo kura za hapana hakuna, za Ndiyo ni 373 na kura tano ni za kura ya kutoamua.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
