SIMBA ipo tayari kuivaa Yanga Leo 25 June 2025

SIMBA ipo tayari kuivaa Yanga Leo 25 June 2025
SIMBA ipo tayari kuivaa Yanga Leo 25 June 2025
Klabu ya Simba SC imemaliza utata wa Dabi ya Kariakoo baada ya kuweka wazi kuwa ipo tayari kucheza mchezo huo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Klabu hiyo ilikua kimya kwa muda mrefu kuhusu mchezo huo, hali ambayo iliibua maswali kwa mashabiki wengi waliokuwa wanataka kufahamu msimamo wa timu hiyo inayoshika nafasi ya pili Kwa alama 78.
Katika mchezo huo, Simba watakuwa wageni wa Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 11:00 jioni.

SIMBA ipo tayari kuivaa Yanga Leo 25 June 2025
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.