YANGA Yamsajili Mohammed Doumbia

Filed in Michezo by on 25.06.2025 0 Comments
Share This Post
YANGA Yamsajili Mohammed Doumbia

YANGA Yamsajili Mohammed Doumbia

YANGA Yamsajili Mohammed Doumbia

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Klabu ya Young Africans imetajwa kukamilisha usajili wa kiungo hatari wa Slovan Liberec ya jamhuri ya Czech, Mohamed Doumbia raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 26.

Kutokana na kuhitaji kuimarisha kikosi chao kwa msimu ujao wa 2025/2026 Klabu hiyo imemsainisha Mohamed Doumbia mkataba wa miaka miwili.

Nyota huyo ambaye amemaliza mkatana na timu hiyo ya Czech anaweza akatua Yanga mwanzoni mwa mwezi ujao July 2025.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *