MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 27 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 27.06.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 27 June 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 27 June 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 27 June 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuanza huduma ya usafirishaji mizigo kwa njia ya reli ya kisasa ya SGR kati ya Pugu jijini Dar es Salaaam na stesheni ya lhumwa, Dodoma.

Reli hiyo ya SGR kwa sasa inaendelea kutumiwa na abiria pekee kati ya Dar es Salaam na Dodoma ambapo tangu Juni 14, 2024 ilipoanza kutoa huduma hadi Juni 2025 zaidi ya abiria milioni 2.5 wamesafirishwa.

Alhamisi, Juni 26, 2025, TRC imetoa taarifa kwa umma ikieleza treni hiyo ya mizigo itaanza kasi kesho Ijumaa Juni 27.

Taarifa hiyo iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa TRC, Fredy Mwanjala imeeleza kwa kuanza kutakuwa na treni moja kila siku itakayokuwa inaondoka stesheni ya Pugu saa 10 alfajiri na kusimama Morogoro saa 12:00 asubuhi ili kupisha treni za abiria. ”

Baadaye kuendelea na safari ya Dodoma ambapo inatarajiwa kufika saa 8:05 mchana.

Matarajio ni kuongeza idadi ya treni na mabehewa siku zijazo ili kuhudumia shehena nyingi zaidi,” amesema Mwanjala.

Desemba 25, 2024 TRC ilitangaza kupokea shehena ya mabehewa 264 yaliyotengenezwa yaliyotengenezwa nchini China.

Taarifa iliyotolewa na Mwanjala ilieleza kati ya mabehewa hayo, 200 yatatumika kubeba makasha (makontena) na 64 yatabeba mizigo isiyofungwa.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *