MAJINA ya Walioitwa Kazini Muheza District Council

MAJINA ya Walioitwa Kazini Muheza District Council
MAJINA ya Walioitwa Kazini Muheza District Council
Kutokana na Tangazo la nafasi za kazi lenye Kumb. Na. HW/MUH/ Kumb.Na.C/A.3/10/5 la tarehe 24/06/2025 la kuitwa kwenye usaili nafasi ya Ukusanyaji wa Ushuru wa Mazao Stendi na Vizimba uliofanyika tarehe 26/06/2025 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Muheza anawatangazia wasailiwa walioshinda usaili kufika Halmashauri ya Wilaya ya Muheza tarehe 28/06/2025 saa 3:00 asubuhi ili kupewa maelekzo ya kazi.
Kila msailiwa afike na Kitambulisho Cha NIDA au Namba ya NIDA.
Orodha Kamili ya Majina ya Walioitwa Kazini Halmashauri ya Wilaya ya Muheza.

Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
