NAFASI Za Kazi Kaizirege and Kemebos Bus Service

NAFASI Za Kazi Kaizirege and Kemebos Bus Service
NAFASI Za Kazi Kaizirege and Kemebos Bus Service
Mkurugenzi wa shule za Kaizirege na Kemebos na mmiliki wa Kampuni ya usafirishaji wa abiria ya Kaizirege And Kemebos Bus Service za Bukoba, Ndg Eusto Kaizirege Ntagalinda anatangaza nafasi za kazi za uhasibu.
SIFA ZA MWAOMBAJI
- Mwombaji awe na stashahada au Shahada ya Uhasibu na Usimamizi wa fedha kutoka chuo kinachotambulika na Serikali.
- Awe ni Binti mwenye umri kati ya miaka 18-25.
- Awe na uwezo wa kutumia Microsoft Excel.
- Awe tayari kufanya kazi eneo lolote atakalopangiwa na mwajiri wake.
- Awe mwaminifu na Mwadilifu
Usaili utafanyika siku ya Jumapili tarehe 06/07/2025 kuanzia saa 04:00 asubuhi, Jijini Dar es Salaam kwenye ofisi za Kampuni hiyo zilizopo Kinondoni Studio mtaa wa Livingstone.
Mwombaji Afike Ofisini akiwa na Barua ya Maombi, nakala za Vyeti vya kitaaluma Pamoja na Picha moja ya rangi (passport).
Kwa Mawasiliano Piga Simu: 0677848343 /0755760268/ 0744739886/0714795465
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
