MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 28.06.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeweka wazi ratiba ya michezo ya fainali za CHAN 2024, ambapo wenyeji Tanzania watafungua michuano hiyo kwa kuikabili Burkina Faso Uwanja wa Benjamim Mkapa Agosti 02, saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Tanzania ipo Kundi B sambamba na timu za Burkina Faso, Madagascar, Mauritania pamoja na Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Nchi jirani ya Kenya itaanza mchezo wake wa kwanza wa Kundi A dhidi ya DR Congo Agosti 03, saa tisa alasiri.

Timu nyingine zilizopangwa Kundi A ni Zambia, Angola na Morocco.

Wenyeji wengine wa fainali hizo Uganda watarusha karata yao ya kwanza kwa kuikabili Niger Agosti 04, saa mbili usiku.

Timu nyingine zilizopangwa Kundi C ni Afrika Kusini, Algeria na Guinea.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *