NAFASI Za Kazi Mkalama District Council

NAFASI Za Kazi Mkalama District Council
NAFASI Za Kazi Mkalama District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mkalama – Singida amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika Ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 April, 2025.
Hivyo anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kutuma
maombi ya kazi katika nafasi zifuatazo Katika PDF ya Tangazo hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
