SAMPLE ya Barua ya Kuomba Kazi ya Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

Filed in Ajira by on 28.06.2025 13 Comments
Share This Post
SAMPLE ya Barua ya Kuomba Kazi ya Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

SAMPLE ya Barua ya Kuomba Kazi ya Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

SAMPLE ya Barua ya Kuomba Kazi ya Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza Nafasi Za kazi za Muda Za Watendaji wa Vituo vya kupigia Kura Kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Nafasi zilizotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi 2025 ni kama zilizoanishwa hapa chini.

  • Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura.
  • Wasimamizi wasaidizi wa Vituo vya Kupigia kura.
  • Makarani Waongozaji Wapiga Kura.

Moja ya Masharti ya Mwombaji wa Ajira hizi ni Barua ya Utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Serikali ya Mtaa au Kijiji katika eneo analoishi.

Sharti jingine ni uwe na nakala ya vyeti vya Elimu ya Sekondari na Taaluma ikiwa vipo, Wasifu (CV) ukionesha anuani yake ya makazi pamoja na Barua ya Maombi ambayo tumekuwekea mfano wake hapa chini kwenye PDF.

KUSOMA TANGAZO LA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU 2025 BOFYA HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Comments (13)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Naomba nafasi ya kusimamia uchaguzi

  2. Naomba nafasi ya kusimamia uchaguzi mkuu wa 2024/2025

  3. Karani mwongozaji wapiga kura Jimbo la karatu

  4. Ombi la nafasi ya ukarani mwongozaji wa wapiga kura Jimbo la karatu Mimi SI mshabiki wa chama chochote Cha siasa.

  5. I’m so happy to apply for this opportunity since I’m a hard worker working on sprit by being flexible and available time to perform this wonderful moment on the national election
    Education level Bachelor degreee in economics and statistics

  6. Ombi la nafasi ya ukarani mwongozaji wa wapiga kura jimbo la muleba kasikazini wa 2024/2025 kata ya nyakatanga mm si mshabiki wa chama chochote cha siasa.

  7. Ombi la nafasi ya ukarani mwongozaji wa wapiga kura jimbo la kaskazin wa mwaka 2024/2025 kata ya nyakatanga mm si mshabiki wa chama chochote cha siasa.

  8. Levina adam says:

    Maombi ya kusimamia uchaguzi nipo mkoa wa dsm

  9. Naomba nafasi ya kuwa msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi 2025

  10. Request for a Clerk’s Voter Guide to Arusha State I am not a fan of any political party.NAMB OF MANGU 0786882125

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *