MAGAZETI ya Leo Jumanne 01 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 30.06.2025 1 Comment
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumanne 01 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 01 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 01 July 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said, amesema kuwa kati ya ahadi tano walizotoa walipopewa dhamana ya kuiongoza klabu hiyo, moja ndiyo bado haijatimizwa.

Amezitaja ahadi hizo kuwa ni kufanya mabadiliko ya kiutendaji ndani ya klabu, kuimarisha kikosi, kuhakikisha Yanga inajitegemea kifedha, na kujenga uwanja wake wa kisasa.

Akizungumza Juni 30, 2025 mbele ya mashabiki waliojitokeza Makao Makuu ya klabu hiyo, Hersi amesema kuwa ahadi pekee iliyosalia ni ujenzi wa uwanja, ambao tayari upo kwenye mchakato baada ya Serikali kutoa ridhaa ya kutekelezwa katika eneo la Makao Makuu ya Yanga na miezi michache ijayo ujenzi utaanza.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Paul says:

    Nimemaliza Kidato Cha nne mwaka 2022 sikufanikiwa kuendelea na masomo ya juu lakini nilisoma ujuzi Wa msingi katika computer. Na ndoto yangu siku itafanikiwa kwasababu sikati tamaa najua siku Mungu atashusha neema yake.
    Sichoki kusubiri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *