MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 30.06.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kiungo wa Klabu ya Simba, Fabrice Ngoma ametangaza kuondoka Klabuni hapo ikionekana kuwa mpango wa kuongeza mkataba mpya umeshindikana.

Mkataba wa Ngoma aliyejiunga na Simba, Julai 2023 akitokea Al Hilal ya Sudan, unafikia tamati mwezi ujao.

Kutokana na hilo, Ngoma ametumia ukurasa wake wa Instagram kuiaga Simba.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Ngoma ameandika:- “Nachukua muda huu kumshukuru kila mmoja aliyefanya nijisikie nipo nyumbani hapa Simba. Asante kwa Salim Try Again na Bosi Mo walionileta hapa miaka miwili iliyopita. “Asante kwa kocha, mastafu na wachezaji ambao nilichangia nao chumba cha kubadilishia nguo pamoja. Hatukuweza kufikia baadhi ya malengo yetu lakini kumbukumbu zote zitabaki mileleni akilini na moyoni mwangu.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *