Khadim Diaw atajwa Simba SC

Filed in Michezo by on 01.07.2025 0 Comments
Share This Post
Khadim Diaw atajwa Simba SC

Khadim Diaw atajwa Simba SC

Khadim Diaw atajwa Simba SC

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Klabu ya Simba imefanya mawasiliano na beki wa kushoto Khadim Diaw raia wa Senegal Kutoka Al Hilal SC ya Sudan.

Khadim Diaw mwenye umri wa 26 anasajiliwa kwaajili ya kumsaidia Mohamed Hussein ambaye ameonekana anacheza michezo mingi kiasi cha kuchoka na kusababisha kutokuwa kwenye kiwango kizuri katika baadhi ya mechi.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *