FOMU Za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Tabora 2025/2026

Filed in Elimu by on 02.07.2025 0 Comments
Share This Post
FOMU Za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Tabora 2025/2026

FOMU Za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Tabora 2025/2026

FOMU Za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Tabora 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

MAELEKEZO KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA SERIKALI KUPITIA OR-TAMISEMI

Wanafunzi wanapaswa kuchukua fomu ya maelekezo ya kujiunga na Chuo cha Ardhi Tabora ambayo inapatikana katika tovuti ya Chuo ambayo ni www.arita.ac.tz

Katika tovuti hiyo, mwanafunzi atapata maelekezo ya kujiunga na Chuo cha Ardhi Tabora (Student Joining Instructions) ambayo itaelekeza mahitaji muhimu ya mwanafunzi pamoja na ada ya masomo kwa mwaka
na Hosteli.

Ni jukumu la Mwanafunzi na Mzazi/Mlezi kusoma kwa kina maelekezo
ya kujiunga na Chuo ili kufanya maandalizi mapema kabla ya Chuo
kufunguliwa kwa masomo ya mwaka 2025/2026.

Wanafunzi wenye mahitaji ya mikopo wanapaswa kufanya maombi hayo
kupitia kiunganishi olas.heslb.go.tz.

Tarehe ya mwisho kutuma maombi
ya mikopo ni 31/08/2025.

Mwongozo wa maombi ya mikopo
unapatikana katika tovuti ya Bodi ya Mikopo Tanzania www.heslb.go.tz
na tovuti ya Chuo www.arita.ac.tz

Kwa maelezo zaidi mwanafunzi anapaswa kufuatilia matangazo kuhusu
nafasi yake ya masomo kupitia tovuti ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) na Tovuti ya Chuo cha Ardhi Tabora www.arita.ac.tz

Kwa mawasiliano zaidi: piga Simu Na. 026 2604591 na 0714 896425.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *