FOMU Za Kujiunga na Chuo cha Ufundi Arusha

Filed in Elimu by on 02.07.2025 0 Comments
Share This Post
FOMU Za Kujiunga na Chuo cha Ufundi Arusha

FOMU Za Kujiunga na Chuo cha Ufundi Arusha

FOMU Za Kujiunga na Chuo cha Ufundi Arusha

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

MAELEZO YA KUJIUNGA NA MASOMO YA UFUNDI (VETA) KWA MWAKA WA MASOMO 2025

Chuo kinatoa mafunzo kwa wale wanaotaka kufanya mitihani ya taifa ya Ufundi na kupata cheti cha ufundi
yaani National Vocational Awards katika hatua ya tatu (NVA III).

ORODHA YA KOZI (FANI) ZINAZOTOLEWA
Waombaji wanayo nafasi ya kujiendeleza katika mojawapo ya kozi (fani) zifuatazo:

A. Kampasi (Campus) ya Arusha Mjini (Main Campus)

  • Biashara (Business Operation Assistant)
  • Utalii (Tour Guiding)
  • Ukataji na Uchongaji wa Madini (Gemstone Cutting and Polishing)
  • Uchoraji wa Ramani (Civil Draughting)
  • Maabara Msaidizi (Laboratory Assistant)
  • Tehama (Information and Communication Technology)
  • Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics)
  • Ufundi wa Umeme wa Magari (Auto Electrical)
  • Ufundi wa Umeme wa Majumbani (Domestic Electrical Installation)
  • Ufundi Electroniki (Electronics)
  • Ufundi Ujenzi (Masonry and Brick Laying)
  • Ujenzi na ukarabati wa barabara (Road Construction and Maintenance)
  • Ufundi Selemara (Carpentry and Joinery)
  • Ufundi wa Viyoyozi na Majokofu (Refrigeration and Air Conditioning)ufundi Mitambo (Fitter Mechanics)
  • Ufundi wa Uchomeleaji na Uhunzi wa Vyuma (Welding and Metal Fabrication).Ufundi Bomba (Plumbing and Pipe Fitting)
  • Ufundi wa Uchongaji wa Vyuma na Vipuli (Fitting and Machining)

B. Kampasi (Campus) ya Kikuletwa

  • Ufundi Bomba (Plumbing and Pipe Fitting)
  • Ufundi Ujenzi (Masonry and Brick Laying)
  • Ufundi wa Umeme wa Majumbani (Domestic Electrical Installation)
  • Ufundi wa Mitambo ya Uzalishaji wa Umeme wa Maji (Hydropower Plants Maintenance)
  • Ufundi wa Umeme wa Mfumo wa Jua (Solar Energy)
  • Ufundi wa Umeme wa Mfumo wa Nishati Taka (Bio-Energy)
  • Ufundi wa Umeme wa Mfumo wa Upepo (Wind Energy)

SIFA ZA KUJIUNGA
Mwombaji awe amemaliza National Vocational Awards katika hatua ya pili (NVA II) na kufaulu masomo yote.

MAELEKEZO KWA WAOMBAJI
Kila mwombaji anatakiwa kuchagua “kozi/fani” moja tu kwa mwaka ambayo ni mwendelezo wa alichosoma level II.

Masomo yatafundishwa kuanzia saa saba na nusu mchana (01:30PM) na kumalizika saa kumi na mbili na
nusu jioni (06:30PM).

Hivyo basi, waombaji wote wanatakiwa wakati wa asubuhi wawe na sehemu ya
kufanya mazoezi ya ufundi viwandani au katika karakana zinazohusiana na fani wanayoomba, ili waweze kuzingatia vizuri masomo watakayopata wakati wa jioni.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *