MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 02/7/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 02/7/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 02/7/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-08-2024 na tarehe 21-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 02-07-2025
Majina mengine ya Walioitwa Kazini Kupitia UTUMISHI mwezi huu wa Saba tazama hapa chini.
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

Majina walioitwa kazini