NAFASI Za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Tabora 2025/2026

Filed in Elimu by on 02.07.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Tabora 2025/2026

NAFASI Za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Tabora 2025/2026

NAFASI Za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Tabora 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mkuu wa Chuo cha Ardhi Tabora anatangaza nafasi za kujiunga na Chuo
kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya Astashahada ya awali (mwaka mmoja) na Stashahada/Diploma (miaka miwili) katika fani za:

  • Usimamizi wa Ardhi, Uthamini na Usajili (Land Management, Valuation and Registration).
  • Urasimu Ramani (Cartography).
  • Sanaa, Ubunifu na Uchapishaji (Graphic Arts and Printing).
  • Usimamizi wa Mazingira (Environmental Management).
  • Mfumo wa Taarifa za Kijiografia (Geographical Information System
    –GIS)

Kwa kozi zinazotolewa chuoni, Mwanafunzi anaweza kuomba mkopo wa Elimu kutoka Bodi ya Mikopo Tanzania (HESLB).

Fomu za maombi zinapatikana Chuo cha Ardhi Tabora, Tovuti ya Chuo: www.arita.ac.tz na Tovuti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi www.lands.go.tz

Sifa za mwombaji zimeainishwa katika tovuti za Chuo na NACTVET.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11/07/2025.

Kwa mawasiliano zaidi: piga Simu Na. 026 2604591 na 0714 896425

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *