MIGUEL Gamondi Kocha Mpya Singida Black Stars

MIGUEL Gamondi Kocha Mpya Singida Black Stars
MIGUEL Gamondi Kocha Mpya Singida Black Stars
Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha Kumsajili aliyekuwa kocha Yanga SC, Miguel Angel Gamondi kuwa kocha Mkuu klabuni hapo kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Taarifa hiyo ya Usajili imetolewa Alhamisi tarehe 3 Julai 2025 iliyotolewa na klabu hiyo imebainisha kuwa aliyekuwa kocha mkuu David Ouma na Kocha Moussa N’Daw watakuwa Makocha Wasaidizi wa kocha huyo raia wa Argentina mwenye Umri wa Miaka 58.
Aidha Mabadiliko haya katika Benchi la Ufundi la Singida Black Stars yamefanywa na Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
