NAFASI 100 Za Kazi Bagamoyo Sugar

NAFASI 100 Za Kazi Bagamoyo Sugar
NAFASI 100 Za Kazi Bagamoyo Sugar
Uongozi wa Kiwanda Cha Sukari Bagamoyo Unapenda Kuwatangazia Wafanyakazi Wote Kuwa Wanazo Nafasi (100) Za Usaidizi Wa Shamba.
SIFA ZA MWOMBAJI;
- Awe Na Afya Njema.
- Asiwe Amewai Kufukuzwa Kazini.
- Awe Raia Wa Tanzania.
- Awe Mwenye Umri Kati Ya Miaka 18-45.
- Asiwe Mfanyakazi Wa Bagamoyo Sugar
WAOMBAJI WOTE WAAMBATANISHE VITU VIFUATAVYO
- Barua ya Maombi Ya Kazi.
- Barua Mbili Za Wadhamini (2).
- Barua ya Utambulisho Kutoka Serikali ya Mtaa.
- Namba ya NIDA.
- Cheti Cha Mlipa Kodi (TIN Certificate).
- Picha Nne (Passport Size)
- Namba ya Simu ya Tigo au Azam Pesa
- Awe na Jembe
Maombi ya Kazi Ni Bure na Yatumwe Kwenye Ofisi ya Rasilimali Watu/utawala Kiwanda Cha Sukari Bagamoyo.
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 14/07/2025
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
