RATIBA ya Mitihani ya Usajili na Taaluma Kwa Wafamasia 2025

Filed in Elimu by on 03.07.2025 0 Comments
Share This Post
RATIBA ya Mitihani ya Usajili na Taaluma Kwa Wafamasia 2025

RATIBA ya Mitihani ya Usajili na Taaluma Kwa Wafamasia 2025

RATIBA ya Mitihani ya Usajili na Taaluma Kwa Wafamasia 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mitihani ya Usajili na Taaluma Kwa Wafamasia, Fundi Dawa Sanifu, Fundi Dawa Wasaidizi na Watoa Dawa Kufanyika Mwezi Julai, 2025

Baraza la Famasi linapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kozi za famasi waliowasilisha maombi ya kufanya mitihani ya usajili na ya taaluma kuwa, mitihani hiyo imepangwa kufanyika tarehe 09 – 11 Julai, 2025 kuanzia Saa 02:00 asubuhi kwa utaratibu ufuatao:

  • Kila mtahiniwa atahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa au mpiga kura au leseni ya udereva au hati ya kusafiria kwa siku zote za mitihani, vyote hivyo vikiwa HALISI na SIYO NAKALA.
  • Mtahiniwa atakaye shindwa kutimiza kigezo hiki hataruhusiwa kufanya mtihani.
  • Kila mtahiniwa anatakiwa kudurufu kitambulisho chenye namba ya mtihani kutoka kwenye akaunti yake ya maombi ya mtihani ambacho atatakiwa kuwa nacho wakati wote wa mitihani sambamba na vitambulisho vilivyoainishwa hapo juu.
  • Kalamu ya bluu au nyeusi na nyekundu, kalamu ya risasi (pencil), rula na kikotoo (calculator).
  • Vifaa vya kielekitroniki kama vile simu, saa janja (Smart watch), n.k havitaruhusiwa katika chumba cha mtihani na kutakua na ukaguzi kabla ya kuingia kwenye chumba cha mtihani.
  • Mavazi yawe nadhifu yanayodumisha maadili ya taaluma.

Vituo vya kufanyia mitihani vitakuwa kama ifuatavyo:

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *