Florent Ibenge Kocha Mpya Azam FC

Florence Ibenge Kocha Mpya Azam FC
Florent Ibenge Kocha Mpya Azam FC
Klabu ya Azam Fc imemtambulisha Florent Ibenge raia wa DR Congo kuwa kocha wao mpya kuelekea msimu ujao wa 2025/26.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 63 ameshawahi kuzinoa klabu za As Vita Club, RS Berkane na Al hilal ya Sudan lakini pia alishawahi kukinoa kikosi cha timu ya taifa ya DR Congo mwaka 2014.

Florent Ibenge Kocha Mpya Azam FC
Ujio wa Ibenge unatajwa kuwa sehemu ya dhamira ya Azam FC ya kujiimarisha zaidi kisoka ndani na nje ya nchi, na kuongeza ushindani dhidi ya vigogo wa soka la Tanzania kama Yanga SC na Simba SC.
Aidha Mashabiki wa Azam FC wamepokea habari hii kwa furaha kubwa, wakiamini kwamba kocha huyo ataongeza nidhamu, mbinu mpya na uzoefu wa kimataifa katika kikosi hicho kuelekea msimu ujao 2025/2026 wa NBC Premier League na mashindano ya CAF.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: Florence Ibenge Kocha Mpya Azam FC, Florent Ibenge Kocha Mpya Azam FC
