NAFASI Za Kazi Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Charlotte

Filed in Ajira by on 05.07.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Charlotte

NAFASI Za Kazi Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Charlotte

NAFASI Za Kazi Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Charlotte

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Menegimenti ya Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Charlotte (CIHAS) inatangaza nafasi za kazi kwa watu wote wenye nia, ari pamoja na sifa kama zilivyoainishwa Katika Tangazo hili hapa chini.

✅Doctor of Medicine – MD (Daktari) – 02

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe na cheti cha shahada ya Udaktari.
  • Awe na leseni ya taaluma iliyo hai.
  • Awe amesoma mafunzo ya ufundishaji (Teaching Methodology).
  • Awe na uzoefu usiopungua miaka 2 ya ufundishaji.

✅Nursing and Midwifery (Uuguzi na Ukunga) – 02

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe na cheti cha shahada ya Uuguzi na Ukunga.
  • Awe na leseni ya taaluma iliyo hai.
  • Awe amesoma mafunzo ya ufundishaji (Teaching Methodology).
  • Awe na uzoefu usiopungua miaka 2 ya ufundishaji.

✅Social Work (Ustawi wa jamii) – 02

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe na cheti cha shahada ya Ustawi wa Jamii.
  • Awe amesoma mafunzo ya ufundishaji (Teaching Methodology).
  • Awe na uzoefu usiopungua miaka 2 ya ufundishaji.

Maombi yote yawasilishwe kwa Barua Pepe: info@cihas.ac.tz

Maombi yatakayo tumwa kinyume na maelekezo ya Tangazo hili hayatafanyiwa kazi.

Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 15/07/2025 saa 9:00 asubuhi.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *