WALIOITWA kwenye Usaili TAMISEMI July 2025

Filed in Usaili by on 05.07.2025 0 Comments
Share This Post
WALIOITWA kwenye Usaili TAMISEMI July 2025

WALIOITWA kwenye Usaili TAMISEMI July 2025

WALIOITWA kwenye Usaili TAMISEMI July 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji waliowasilisha maombi ya ajira ya Mkataba wa nafasi ya Afisa Lishe mwezi Mei, 2025 kuwa mchakato wa uchambuzi umekamilika.

Hivyo waombaji wote waliokidhi vigezo wanatakiwa kushiriki katika usaili (Oral interview) kwa njia ya mtandao (live zoom).

Usaili huu umepangwa kufanyika siku ya Jumanne tarehe 8 Julai, 2025 kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Wasailiwa wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:

  • Usaili utafanyika kwa tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili, muda na sehemu ambapo usaili utafanyika ni mahali alipo mwombaji kwa njia ya zoom.
  • Kila msailiwa anatakiwa kuandaa kompyuta mpakato/tablet au Ipad pamoja na kifurushi cha Internet kumwezesha kushiriki katika usaili kupitia zoom.
  • Wasailiwa wanatakiwa kuzingatia muda aliopangwa kuanza usaili.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao dakika tano kabla ya muda aliopangiwa kuanza usaili.

NB: Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa hawakukidhi vigezo.

Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

Orodha ya majina ya waombaji wanaoitwa katika usaili yameoorodheshwa hapa chini kwenye PDF.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *