MAGAZETI ya Leo Jumapili 06 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 06.07.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumapili 06 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 06 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 06 July 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chuo cha JKT kimewakaribisha vijana waliohitimu darasa la saba kujiunga na mafunzo mbalimbali yatakayowawezesha kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku.

Wito huo umetolewa Jumamosi ya Julai 5, 2025 na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma JKT), Kanali Shija Lupi, alipokuwa akizungumza katika maonesho ya 49 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam (DiTF), maarufu Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Kanali Lupi amesema kuwa JKT kupitia chuo chake cha mafunzo kilichopo Mgulani, kinapokea vijana kuanzia waliohitimu darasa la saba na kuendelea, kwa lengo la kuwapatia stadi za ufundi zitakazowasaidia katika maisha yao ya kila siku.

Kanali Lupi amesema kuwa teknolojia ya ufugaji wa samaki kwa kutumia matenki imeanzishwa na Suma JKT na wananchi watakaotembelea banda lao watapata fursa ya kujionea kwa karibu ufugaji huo, pamoja na kufundishwa na wataalamu waliobobea katika sekta hiyo.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *