NAFASI Za Kazi Chuo cha Ualimu Musoma Utalii

Filed in Ajira by on 06.07.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Chuo cha Ualimu Musoma Utalii

NAFASI Za Kazi Chuo cha Ualimu Musoma Utalii

NAFASI Za Kazi Chuo cha Ualimu Musoma Utalii

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mkuu wa Chuo cha Ualimu Musoma Utalii anatangaza nafasi za kazi kwa masomo. yafuatayo;

  • Mathematics
  • Geography
  • Psychology

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Mwombaji awe Mtanzania mwenye umri wa miaka 32 na kuendelea.
  • Mwombaji awe amesoma shahada ya kwanza (Bachelor degree), mwenye masomo ya kufundishia kama yalivyotajwa kwenye tangazo hili.

Waombaji wote wenye sifa, wafike chuoni Musoma utalii wakiwa na nakala za vyeti, wasifu binafsi Pamoja na barua ya maombi ya kazi siku ya tarehe 7 Julai 2025 Saa tano na nusu asubuhi.

Usaili utafanyika siku ya tarehe 8 julai 2025 saa mbili kamili asubuhi.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *