NAFASI Za Walimu Tanganyika Schools

NAFASI Za Walimu Tanganyika Schools
NAFASI Za Walimu Tanganyika Schools
Tanganyika Schools (Sky Wings Academy) ina furaha kutangaza nafasi Mbalimbali za Walimu Kwa Watu wenye nia, ari Pamoja na Sifa stahiki kama zilizoanishwa hapa chini.
Hii ni fursa nzuri ya kuwa sehemu ya taasisi hiyo ya Elimu, yenye ubora wa
kitaaluma na maendeleo kamili, ikiwa una shauku kuhusu elimu na unakidhi
mahitaji, Tanganyika Schools inakualika utume CV yako kwa: recruitment@tanganyikaschools.sc.tz.
Kuona nafasi zote na Jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali Donwload PDF hapa chini
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
