MATOKEO ya Kidato Cha Sita 2025

Filed in Elimu by on 07.07.2025 0 Comments
Share This Post
MATOKEO ya Kidato Cha Sita 2025

MATOKEO ya Kidato Cha Sita 2025

MATOKEO ya Kidato Cha Sita 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Limetangaza Matokeo ya Kidato cha Sita huku ufaulu wa jumla ukiwa asilimia 99.95 kwa watahiniwa 126,135 waliofanya mtihani, sawa na ongezeko la asilimia 0.03 ikilinganishwa na ufaulu wa mwaka 2024 ambao ulikuwa asilimia 99.92.

Akitangaza matokeo hayo leo Julai 7, 2025 katika ofisi za Necta Zanzibar, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Profesa Said Mohamed, amesema kuwa watahiniwa 790 hawakufanya mithani sawa na silimia 0.62.

“Watahiniwa wa shule waliofaulu ni 125, 779 sawa na asilimia 99.95 ya watahiniwa wenye matokeo.Watahiniwa walioshindwa mtihani ni 68 sawa na asilimia 0.05. Mwaka 2024 watahiniwa 103,252 sawa ana asilimia 99.92 ya watahiniwa wa shule walifaulu mtihani huo,” amesema.

Amesema kuwa ufaulu wa watahiniwa kwa kuzingatia jinsi unaonesha kuwa wasichana waliofaulu ni 61,953 sawa na asilimia 99.95, huku wavulana wakiwa 63, 826 sawa na asilimia 99.95.

Amesema kuwa takwimu zinaonyesha jumla ya watahiniwa 125, 375 sawa na asilimia 99.62 wamepata ufaulu wa madaraja ya kwanza hadi la tatu, kati ya hao waliopata daraja la kwanza ni watahiniwa 61,120 sawa na asilimia 48.57, daraja la pili ni 49,385 sawa na asilimia 39.24.

Kuangalia Matokeo hayo tafadhali bofya link hapa chini.

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2025

MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (DSEE) 2025

MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATCE) 2025

MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATSCCE) 2025

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *