WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere 2025/2026

WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere 2025/2026
WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere 2025/2026
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere anayo furaha kuwakaribisha wanafunzi wote waliochaguliwa na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
Chuo kinatoa mafunzo katika fani mbalimbali kuanzia ngazi ya Cheti, Diploma, Shahada na Shahada za Umahiri.
Hivyo, uwapo Chuoni utapata fursa ya kukuza ujuzi na uelewa katika masuala mbalimbali ya kitaaluma, kijamii, kimaadili na kiuongozi kwa kukutana na wanafunzi wa ngazi mbalimbali na wakufunzi waliobobea kwenye fani zao.
Chuo kitafunguliwa mwezi Oktoba 2025.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD FOMU
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere 2025/2026

Mwalimu nyerere University
Email yangu unasumbua kupata fomu ya majibu
Maana selection zikitoka sitoweza kujua