WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Chuo Cha Ustawi wa Jamii

WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Chuo Cha Ustawi wa Jamii
WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Chuo Cha Ustawi wa Jamii
Tangazo Kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Na Ofisi Ya Rais-TAMISEMI Kujiunga na Chuo Cha Ustawi wa Jamii (Kampasi ya Dar Es Salaam na Kampasi ya Kisangara) Katika Mwaka wa Masomo 2025/20266
Chuo Cha Ustawi wa Jamii kinawafahamisha wanafunzi wote waliochanguliwa na Tamisemi kusoma program mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kuwa wanapaswa kuthibitisha kukubali kujiunga na kozi hizo kupitia kiunganishi kinachoitwa “TAMISEMI comfirm” ili kukubali kuchaguliwa kwenye kozi walivyopangiwa.
Mwanafunzi ambaye hatathibitisha kukubali, nafasi yake itachukuliwa na wanafunzi wengine wanaoendelea kuomba.
Mwisho wa kudhibitisha ni tarehe 17 /08/ 2025.
Baada ya kuthibitisha wanafunzi hao wapakue fomu ya maelezo ya kujiunga (joining instructions) na programu aliyopangiwa kwenye link ya “announcements” inayopatikana wenye tovuti ya chuo (www.isw.ac.tz)
Kwa taarifa zaidi wapige simu namba +255 677 111 200 au +255 735 509 090 kampasi ya Dar es salaam na +255 716 121 096 kampasi ya Kisangara au kutuma ujumbe kwa barua pepe kupitia anuani hii: info@isw.ac.tz
Orodha ya majina ya wanafunzi wote na programu walizopangiwa ni kama ifuatavyo hapa chini kwenye PDF.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
