NAFASI Za Kazi UNDP Tanzania

NAFASI Za Kazi UNDP Tanzania
NAFASI Za Kazi UNDP Tanzania
Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) unafanya kazi katika zaidi ya nchi na maeneo 170, kusaidia kutokomeza umaskini, kupunguza ukosefu wa usawa, na kujenga uwezo wa kustahimili mafanikio ya maendeleo.
Nchini Tanzania, UNDP inaunga mkono serikali na washirika wengine katika kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kupitia afua za kimkakati katika utawala, ukuaji wa uchumi shirikishi, mazingira, nishati na uvumbuzi.
UNDP inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka UNDP Tanzania
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?KUTUMA MAOMBI BONYEZA HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
