NAFASI 120 Za Kazi Evatho Matrix Security

NAFASI 120 Za Kazi Evatho Matrix Security
NAFASI 120 Za Kazi Evatho Matrix Security
Kampuni ya Evatho Matrix inapenda kutangaza nafasi 120 Za Kazi Kwa Watanzania wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki.
✅Nafasi Security Officers – 100 Nafasi
✅Security Supervisors – 20
SIFA ZA MUOMBAJI
- Awe na mafunzo ya Jkt,Mgambo nk.
- Awe na umri 18-40 yrs.
- Asiwe na makosa yoyote ya jinai.
- Awe tayari kufanya kazi Mkoa wa Dar es Salaam au Nje ya mkoa
Maombi yote yatumwe kwa Anuani hapo chini au Peleka maombi yako Moja kwa moja Ofisini (Ofisi Zipo Sinza Makaburini)”
Tuma Maombi Kupitia Website: www.applyjob.evathomatrixsecurity.com
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
