MAJINA 100 ya Wanafunzi Wenye Sifa ya Kuomba Samia Scholarship 2025/2026

Filed in Elimu by on 11.07.2025 1 Comment
Share This Post
MAJINA 100 ya Wanafunzi Wenye Sifa ya Kuomba Samia Scholarship 2025/2026

MAJINA 100 ya Wanafunzi Wenye Sifa ya Kuomba Samia Scholarship 2025/2026

MAJINA 100 ya Wanafunzi Wenye Sifa ya Kuomba Samia Scholarship 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza fursa za ufadhili wa masomo katika ngazi ya Shahada ya Kwanza na Shahada ya Umahiri kupitia programu ya SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED DS/AI+ (SSE- DS/AI+) kwa mwaka wa masomo 2025/26.

Programu ya SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED DS/AI+ itatoa ufadhili kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao ya awali na wanaotaka kujiendeleza kitaaluma katika fani za “Data Science, Artificial Intelligence, Cybersecurity, Machine learning na Allied Sciences”.

Ufadhili huu ni wa asilimia mia moja (100%) ukijumuisha ada ya masomo, udahili wa chuo na usajili wa kozi, gharama za utafiti, posho ya kujikimu, bima ya afya, usafiri, makazi na gharama za kujifunza lugha.

Orodha Kamili ya Wanafunzi 100 wa Kidato Cha Sita 2025 Wenye Sifa ya Kutuma Maombi ya Ufadhili wa Masomo nchi za Nje Katika Vyuo Vikuu Bora Duniani chini ya Samia Scholarship Extended DS/AI+ 2025/2026.

DOWNLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Kuona Sifa ambazo Mwombaji wa ufadhili anapaswa kuwa nazo bofya HAPA:

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *