MAGAZETI ya Leo Jumapili 13 July 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 13.07.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumapili 13 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 13 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 13 July 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kiungo wa Klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Juni wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/2025, akiwapiku Clatous Chama na Kibu Denis wa Simba.

Pacomne aling’ara kwenye mechi tatu za mwisho za msimu, akiiongoza kwa kuifungia mabao matatu na kutoa pasi ya bao moja katika dakika 242 alizocheza mwezi huo.

Katika hatua nyingine, Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miloud Hamdi naye ametangazwa kuwa Kocha Bora wa mwezi huo baada ya kuiwezesha timu yake kushinda mechi zote tatu za mwisho za msimu na kuhitimisha kampeni ya ubingwa kwa kishindo.

Hamdi aliwapiku makocha wenzake akiwamo Rachid Taoussi wa Azam FC na Fred Felix wa Pamba FC.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *