RATIBA ya Usaili wa awali Tume ya Utumishi wa Mahakama Julai 2025

Filed in Usaili by on 13.07.2025 0 Comments
Share This Post

RATIBA ya Usaili wa awali Tume ya Utumishi wa Mahakama Julai 2025

RATIBA ya Usaili wa awali Tume ya Utumishi wa Mahakama Julai 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kufuatia Tangazo la nafasi za Ajira mpya zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa
Mahakama tarehe 03 Juni, 2025, napenda kuwafahamisha waombaji wa nafasi za
kazi kwa kada mbalimbali kuwa, baada ya uchambuzi wa kina waombaji
waliochaguliwa kuingia kwenye usaili wa hatua ya kwanza watasailiwa kwa nafasi hizo kwa tarehe, muda na vituo vilivyooneshwa kwenye orodha ya majina ya wasailiwa iliyoambatishwa na Tangazo hili.

Inasisitizwa kwamba, kila msailiwa
atafanya usaili kwenye kituo alichopangiwa na si vinginevyo.

Hatua hii ya usaili itafanyika kwa njia ya Kielektroniki.

Wasailiwa wote wanapaswa
kufika na vitambulisho vya NIDA na vyeti vyao halisi vya Taaluma na vya elimu ya sekondari.

Kuelekea Usaili huo, hii hapa ni Ratiba ya Usaili wa awali Kwa mwezi huu wa Julai 2025.

RATIBA ya Usaili wa awali Tume ya Utumishi wa Mahakama Julai 2025

RATIBA ya Usaili wa awali Tume ya Utumishi wa Mahakama Julai 2025

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *