WALIOITWA Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama JCI July 2025

WALIOITWA Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama JCI July 2025
WALIOITWA Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama JCI July 2025
Kufuatia tangazo la nafasi za ajira mpya zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa
Mahakama tarehe 03 Juni, 2025, napenda kuwafahamisha waombaji wa nafasi za
kazi kwa kada mbalimbali kuwa, baada ya uchambuzi wa kina waombaji
waliochaguliwa kuingia kwenye usaili wa hatua ya kwanza watasailiwa kwa nafasi hizo kwa tarehe, muda na vituo vilivyooneshwa kwenye orodha ya majina ya wasailiwa iliyoambatishwa na Tangazo hili.
Inasisitizwa kwamba, kila msailiwa atafanya usaili kwenye kituo alichopangiwa na si vinginevyo.
Hatua hii ya usaili itafanyika kwa njia ya Kielektroniki.
Wasailiwa wote wanapaswa kufika na vitambulisho vya NIDA na vyeti vyao halisi vya Taaluma na vya elimu ya
sekondari.
Aidha, watakaofaulu usaili katika hatua ya kwanza watafahamishwa tarehe
ya hatua nyingine ya usaili wa kujieleza (Oral Interview) na au Vitendo (Practical
Interview) kupitia tovuti ya Tume ya Utumishi wa Mahakama www.jsc.go.tz.
Kwa wale ambao hawataona majina yao, watambue kuwa hawakupata nafasi ya
kuingia kufanya usaili hatua ya kwanza.
Kupata tangazo na orodha ya majina ya waliochaguliwa kuudhulia usaili wa hatua ya kwanza kwa kada mbalimbali BOFYA HAPA
Kwa maulizo zaidi piga simu Na 0734219821 au 0738247341, au
tuma barua pepe: maulizo.ajira@jsc.go.tz
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: WALIOITWA Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama JCI July 2025

Jina langu sijaliona wakati nina sifa zote