MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 14/07/2025

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 14/07/2025
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 14/07/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI), Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Ofisi ya Taifa ya
Mashtaka (NPS), Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu wa Elimu ya Juu (HESLB), Wizara ya Maji, Tume ya Madini (TMC), Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA), Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), MDAs & LGAs, Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23-07-2025 hadi 12-08-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi
waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia
maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 14-07-2025
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

Naipenda sana