WALIOITWA Kwenye Usaili TFS, TAA na TARURA July 2025

WALIOITWA Kwenye Usaili TFS, TAA na TARURA July 2025
WALIOITWA Kwenye Usaili TFS, TAA na TARURA July 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Wakala Ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 28-07-2025 hadi 21-08-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
