MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo UTUMISHI 18/08/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 18/08/2025
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 18/08/2025
Haya hapa Matokeo ya Usaili Wa Vitendo Kada Ya Dereva Daraja la II uliofanyika kuanzia tarehe 11-18/08/2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwaajili ya utambuzi.
Haya hapa Matokeo ya Usaili Wa Vitendo Kada ya Civil Technician, Technician (Civil) na Water Technician II (Hydrogeologist)
Matokeo ya usaili wa Vitendo.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
