MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 22/08/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 22/08/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 22/08/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapendankuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 12-06 2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-08-2025
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
