NAFASI Za Kazi Survival Hospital

NAFASI Za Kazi Survival Hospital
NAFASI Za Kazi Survival Hospital
Hospitali ya Survival ni Hospitali binafsi iliyosajiliwa rasmi kwa ngazi ya Wilaya kwa mujibu wa Masharti ya Sheria ya Hospitali Binafsi (Kanuni) Sura ya 151, kwa namba ya usajili 12151.
Survival Hospital Ipo Rushe, Mabira, katika Wilaya ya Kyerwa, Mkoani Kagera.
Hospitali hii imezindua idara zote kuu za utoaji huduma ambazo ni pamoja na Dawa (Pharmacy), Maabara, Uzazi, Upasuaji (Theatre), Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto (RCH), Wodi ya Wajawazito, Wanaume, Mionzi (Radiology), Huduma ya Dharura, Huduma kwa Watoto Wachanga (Neonatal), Chumba cha Kuhifadhia Maiti (Mortuary), na Wodi za Wagonjwa wa Kulazwa.
Hospitali ya Survival ni kituo kipya kilichoanzishwa na kumilikiwa na kampuni ya NSG CO. LTD yenye makao Makuu katika mkoa wa Geita.
Hospitali inatoa mazingira bora ya kufanyia kazi na ina miundombinu yote mihimu na mizuri.
Hospitali hiyo kwa sasa inatafuta wafanyakazi walio na ari ya kazi na wanaopenda kuhudumia wagonjwa katika fani zilizoanishwa hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
