CPA Amos Gabriel Makalla Mkuu Mpya wa Mkoa wa Arusha

Filed in Habari by on 23.08.2025 0 Comments
Share This Post
CPA Amos Gabriel Makalla Mkuu Mpya wa Mkoa wa Arusha

CPA Amos Gabriel Makalla Mkuu Mpya wa Mkoa wa Arusha

CPA Amos Gabriel Makalla Mkuu Mpya wa Mkoa wa Arusha

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua CPA. Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Awali CPA. Makalla alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, na anachukua nafasi ya Kenan Laban Kihongosi ambaye ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka August 23, 2026, Uapisho wa Mkuu wa Mkoa Mteule utafanyika tarehe 26 Agosti, 2025 saa 05.00 asubuhi, Ikulu Chamwino, Dodoma.

Aidha, Dkt. Asha-Rose Migiro ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM akichukua nafasi ya Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye chama kimempitisha kuwa Mgombea Mwenza wa Dkt. Samia Suluhu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *