MAGAZETI ya Leo Jumamosi 23 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 23 August 2025
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 23 August 2025

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imekuwa timu ya pili wenyeji wa michuano ya CHAN 2024 kuaga mashindano hayo baada ya kufungwa bao 1-0 dhidi ya Morocco.
Mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam umeifanya Stars kuungana na Kenya iliyoondoshwa na Madagascar kwa mikwaju ya penati hapo Katika Robo Fainali ya Kwanza.
Aidha Uganda ndiyo wenyeji pekee waliobakia kwenye mashindano hayo ambapo itashuka dimbani Leo Agosti 23, 2025 dhidi ya Senegal.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
