NAFASI Za Kazi EMEDO Tanzania

Filed in Ajira by on 23.08.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi EMEDO Tanzania

NAFASI Za Kazi EMEDO Tanzania

NAFASI Za Kazi EMEDO Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mwaka 2022, Taasisi ya Royal National Lifeboat (RNLI) na Usimamizi wa Mazingira na Shirika la Maendeleo ya Kiuchumi (EMEDO) lilizindua LVDPP kushughulikia kuzama kwa jamii za wavuvi katika mwambao wa Tanzania wa Ziwa Victoria na kuchukua hatua ili kupunguza vifo vya kuzama, hasa miongoni mwa wavuvi.

Mradi unafanya kazi na jamii zinazozunguka Ziwa Victoria kwa kushirikiana kubuni, kuendeleza na kufanya majaribio ya kuzuia kuzama Kwa wavuvi.

EMEDO Tanzania inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa tajwa kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Shirika la Maendeleo ya Kiuchumi (EMEDO)

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *