KUITWA Kazini Chuo Kishiriki Cha Elimu Mkwawa (MUCE) 25/08/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 25.08.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Chuo Kishiriki Cha Elimu Mkwawa (MUCE) 25/08/2025

KUITWA Kazini Chuo Kishiriki Cha Elimu Mkwawa (MUCE) 25/08/2025

KUITWA Kazini Chuo Kishiriki Cha Elimu Mkwawa (MUCE) 25/08/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Naibu Rasi – Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 27 Julai, 2025 kuwa matokeo ya usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kuanzia tarehe 28 Agosti, 2025 hadi 11 Septemba, 2025 kwa kufika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE).

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti katika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kuanzia saa Mbili asubuhi kwa tarehe tajwa wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili zihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

KUITWA KAZINI CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU MKWAWA 25-08-2025

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *