MAGAZETI ya Leo Jumatatu 25 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 25.08.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 25 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 25 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 25 August 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imewateua miongoni mwa waliokuwa wabunge 19 wa Chadema kuwania ubunge.

Wabunge hao baada ya Bunge la 12 kuvunjwa walihamia CCM na kujitosa kwenye majimbo.

Walioteuliwa na majimbo yao ni Esther Matiko (Tarime Mjini), Ester Bulaya (Bunda Mjini), Hawa Mwaifunga (Tabora Mjini), Kunti Majala (Chemba) na Jesca Kishoa (Iramba Mashariki.)

Majina hayo yametangazwa Jumamosi ya Agosti 23, 2025 na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla wakati akitangaza majina ya wagombea watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *